DJ FETTY KITAA KUMEMCHOSHA ANATAKA KURUDI CLOUDS soma hapa
Haya ndiyo aliyoyaandika katika ukurasa wake wa facebook ..........
Tarehe Kama ya Leo 15/09/2015. Was the day niliyotangaza Rasmi kuachana na kazi niliyokuwa naipenda (bado naipenda) ya utangazaji katika kituo nilichokipenda (bado nakipenda) Clouds Fm. Ni Mwaka sasa tunahesabu, lakini love uliyonayo kwangu ukiwa Kama msikilizaji inanifanya nihisi Kama uamuzi huu ulikuwa siku chache tu zilizopita. Najua unanipenda na sina budi kukushkuru sana kwa love inayoendelea. This is giving back the love I have for u..... LOVE U ALL ❤️❤️and thank u so much for loving me. Wabheja sana wakima na bhangosha
Source djfetty
No comments