Diamond:Najisikia Niachie Mpya Nyimbo Leo
Huwenda Diamond Platnumz anataka kutimiza ahadi yake ya kuachia wimbo mpya baada ya wimbo wake ‘Kidogo’ aliowashirikisha wasanii wa kundi la P Square kufikisha views 4,764,307 katika mtandao wa YouTube.
Uongozi wa Diamond Platnumz uliahidi kuwa endapo video ya wimbo ‘Kidogo’ ikifikisha views milioni 5 katika mtandao wa Youtube basi watatoa zawadi kwa mashabiki wao kwa kwa kuachia wimbo mpya.
Jumapili hii Diamond kupitia twitter ameandika.
Chibu Dangote
✔@diamondplatnumz
Najiskia niachie nyimbo leo
8:21 AM - 18 Sep 2016
116116 Retweets
299299 likes
Mashabiki wengi wa staa huyo wameonyesha kufurahisha na taarifa hiyo huku baadhi yao walimtaka kusuria msimu wa Fiesta kumalizika.
Bongo5
No comments