Jhene Aiko aomba talaka kwa mumewe, ni baada ya ukaribu na Big Sean kuzidi

Muimbaji wa Marekani, Jhene Aiko ameomba talaka kwa mume wake mtayarishaji wa muziki Dot da Genius.DotDaGenius_jhene-Aiko

Aiko na Dot wamekuwa kwenye ndoa kwa miazi 11 tu. Jhene amekuwa karibu na rapper Big Sean kiasi cha kuitia doa ndoa yake.
big-sean-jhene-aiko-twenty88-640x640

Wamekuwa wakifanya kazi pamoja na mwezi June walibusu mbele ya mashabiki huko Anaheim.
Kwa mujibu wa TMZ, muimbaji huyo amedai sababu ya kuachana ni mambo yasiyo suluhushika.

No comments

Powered by Blogger.