Ebhanaee RIHANNA APEWA TUZO YA HESHIMA MTV VMA
Hitmaker wa wimbo ‘Work’, Rihanna anatarajia kukabidhiwa tuzo ya heshima ya ‘Lifetime Achievement Award’ katika utoaji wa tuzo za MTV Video Music Awards (VMA) zitakazofanyika Agosti 28 mwaka huu.
Tuzo hizo za MTV Video Music Awards hutolewa kila mwaka kwa wasanii ambao wameonyesha ubunifu kwenye video zao. Wasanii wengine waliofanikiwa kupatiwa tuzo hiyo ya heshima ni pamoja na Kanye West, Madonna, Beyonce na wengine.
Pia Rihanna anatarajiwa kutumbuiza kwenye tuzo hizo zitakazofanyika huko mjini New York huku wimbo wake ‘Work’ ukichaguliwa kuingia kwenye vipengele vinne vya tuzo hizo.

No comments