Pamoja na kuwa na bendi ya Malaika, Christian Bella amedai kuwa atafungua studio yake mwenyewe na record label iitwayo CB Records.
13774847_938031576320131_192436493_n
Amedai kuwa kupitia CB, atasainisha wasanii watakaokuwa chini yake.

Akiongea na mtangazaji wa Uplands FM ya Njombe, Ergon Elly kwenye kipindi cha Extra Fleva, Bella alisema kila kitu kitakuwa sawa mwezi ujao.

Amedai kuwa studio hiyo itakuwa Sinza, Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.