NAY WA MITEGO AMETOA UJUMBE HUU KWA WASANII WANAO MPONDA KWA ANACHOKIFANYA.

Rapa Nay wa Mitego Amezidi kufunguka baada ya wimbo wake mpya shika adabu yako kuwaponda wasanii na wengine kufunguka kumlaumu na kutokufurahishwa na wimbo huo
True Boy Nay Ameandika Hivii kweye Ukurasa Wake Wa Instagram
 Siumizwi kichwa na wasanii wanao ni Diss,
 nachanganyikiwa nikijua nimepoteza Shabiki wakweli ata Mmoja.!! Sitaki kua Msanii mkali Kama watakavyo wao, Mashabiki wangu wana Enjoy ninachofanya najivunia kuwa na Fans wengi. Wanajisifia Ukali na wanakufa njaa. #ShikaAdabuYako Imewapa Stress Daaaah Ameandika Nay Wa mitego

No comments

Powered by Blogger.