Z Anto Amewataja Hawa Wasanii Waliowahi Kutumia Jina Lake Kujinufaisha Diamond Nae Alilitumia Vipi?
Z Anto awataja wasanii waliowahi kutumia Jina lake kujinufaisha,akiwemo Diamond.
Msanii wa bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao cha binti kiziwi,Z Anto amefunguka na kusema amewahi kupata matatizo kutokana na watu kulitumia jina lake vibaya kipindi bado anafanya vizuri kwenye muziki.
Z Anto amesema kuwa watu wengi wamewahi kufanya hivyo akiwamo Diamond na msanii mwingine wa Sharo Baro ambaye anamjua kwa sura tu.Z Anto ameweka wazi na kusema kuwa kuna mtu huko Mwanza aliwahi kujifanya yeye ili apige show na kuchukua hela ya watu kisha kutotokea kitu kilimletea matatizo yeye.
“Miongoni wa watu ambao nilikuwa na majina yao ni msanii mmoja alikuwa anatokea kampuni ya wa Sharo Baro sikumfahamu ni nani ila nimeshawai kumwona,mtu wa pili Diamond,nasikia jamaa ameshaburuza sana watoto wa kike kupitia jina langu ila respect kwake” alifunguka Z Anto.

No comments