"SHIKA ADABU YAKO" new video

Pamoja na  BASATA kutoa tamko la kuufungia wimbo wa ‘Shika Adabu Yako’ wa Nay Wa Mitego,  ametangaza kuachia video ya huo ambao amewachana watu mbalimbali.
Nay amesema kichupa hicho kitatoka rasmi ijumaa ya Feb 26.

“#ShikaAdabuYako 26Feb video inatoka.! Ijumaa hii.! #ShikaAdabuYako” Nay alitoa taarifa hiyo kupitia Instagram.

Wiki iliyopita BASATA ilitoa tamko rasmi la kuufungia wimbo huo (ingia hapa) kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili, kashfa, uchochezi, kudhalilisha watu, na kuhatarisha amani na utengamano miongoni mwa wasanii na jamii kwa ujumla.

No comments

Powered by Blogger.