D’wikend ya CloudsTV ilivyowakutanisha Nuh Mziwanda na Shilole bila kujijua ili wapatane

Shilole na Nuh Mziwanda walikua wanabongofleva walio mapenzini ambapo Shilole alishavishwa pete ya uchumba zaidi ya mwaka mmoja uliopita, kwenye Interview na Millard Ayo December 2015 alisema yuko tayari kwa ndoa na Nuh, japo alishawahi kusema hatoolewa tena… alimsifia Nuh kama Mwanaume wa kipekee lakini mdudu mbaya akaingia wakaachana mwishoni mwa mwaka 2015.
Baada ya kuona pande zote mbili zinazungumza kwa nyakati tofauti na kuonyesha kama kuna uwezekano wa kurudiana, show ya D’Wikend CloudsTV ikawafanyia suprise kuwakutanisha bila wenyewe kujijua…. tazama hii video hapa chini

No comments

Powered by Blogger.