Meek Mill anaisogeza hii mpya ‘The Trillest’ pembeni Nicki Minaj – (Video)!

Meek Mill anaendelea kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani, baada ya  kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na 50 Cent na kuachia diss track yake ya 4/4 inayowalenga Drake na 50 Cent, staa huyo kutoka kundi la Maybach Music Group anaisogeza kwetu official music video ya ‘The Trillest’ kutoka kwenye album yake ya mwaka 2015, Dreams Worth More Than Money.
Kama bado haijakufikia feel free kuicheki video hiyo hapa chini kwenye hizi dakika 6

No comments

Powered by Blogger.