Picha Hizi za Wema Sepetu na Patcho Mwamba Zawa Gumzo Mtandaoni
Picha za mastaa wakali wa Bongo Movies,
Wema Sepetu na Patcho Mwamba zilizosambaa
mtandaoni wakiwa kwenye mapozi mtamu
matamu yakiwaonyesha kama ni
wapenzi zimekuwa kivutio miongoni mwa
mashabiki wao. Picha hizo ni picha za promo ya
filamu yao mpya ya Chungu cha Tatu
inayotarajiwa kuingia sokoni siku chache zijazo.
Chungu cha Tatu imetayarishwa na
kutengenezwa chini ya kampuni ya Jerusalem
Filims.
No comments