Baada ya majina 23 kuchujwa, hawa ndio mastaa watatu waliofanikiwa kuwania tuzo ya Ballon d’Or!!

Mastaa watatu wa soka duniani Cristiano
Ronaldo, Lionel Messi na Neymar wamerudi
kwenye headlines baada ya kuchaguliwa
kushindania tuzo ya kimataifa ya mwaka ya
Ballon d’Or.
Huu unakuwa mwaka wa nane kwa staa wa
klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo na Lionel
Mess kushiriki katika tuzo hizo kubwa duniani.
Mshindi wa tuzo hizo anatarajiwa kutangazwa
rasmo katika jiji la Zurich, Uswis January 11
2016.
Mastaa hao watatu wamefanikiwa kutangazwa
baada ya kushindanishwa kati ya wachezaji 23
waliokuwa wakiwania akiemo Wales na Gareth
Bale.
Pia makocha watatu watakaowania tuzo hiyo na
timu zao kwenye mabano ni Pep Guardiola
(Spain/FC Bayern Munich), Luis Enrique
Martínez (Spain/FC Barcelona), Jorge Sampaoli
wa (Argentina/Chilean national team)
Hawa ndio mastaa waliokuwa wakiwania tuzo
hiyo.
1. Sergio Aguero (Argentina/Manchester City)
2.Gareth Bale (Wales/Real Madrid)
3.Karim Benzema (France/Real Madrid)
4.Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid)
5. Kevin De Bruyne (Belgium/VfL Wolfsburg/
Manchester City)
6.Eden Hazard (Belgium/Chelsea)
7. Zlatan Ibrahimovic (Sweden/Paris Saint-
Germain)
8. Andres Iniesta (Spain/FC Barcelona)
9. Toni Kroos (Germany/Real Madrid)
10.Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern
Munich)
11.Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona)
12.Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona)
13. Thomas Muller (Germany/FC Bayern
Munich)
14. Manuel Neuer (Germany/FC Bayern Munich)
15. Neymar (Brazil/FC Barcelona)
16. Paul Pogba (France/Juventus)
17. Ivan Rakitic (Croatia/FC Barcelona)
18.Arjen Robben (Netherlands/FC Bayern
Munich)
19. James Rodriguez (Colombia/Real Madrid)
20. Alexis Sanchez (Chile/Arsenal)
21. Luis Suarez (Uruguay/FC Barcelona)
22. Yaya Toure (Cote d’Ivoire/Manchester City)
23. Arturo Vidal (Chile/Juventus/FC Bayern
Munich)

No comments

Powered by Blogger.