Dino Hali si Hali
Deniss Sweya ‘Dino’ amesema ukama wa kazi
mpya kwenye soko la filamu kwa sasa
unatokana na ugum,u wa bajeti za kutayarisha.
Alisema kipindi cha nyuma filamu zilikuwa
zinauzika na kutengeneza ajira nyingi kwa vijana
kutokana na maandalizi kuwa katika viwango vya
kawaida tofauti na sasa ambapo ili kazi iuzike ni
lazima iwe ya kiwango cha juu.
“Bajeti zinabana sana na ukitaka kupata kitu
kizuri lazima kujipanga ili kukusanya mashabiki
wengi na ambao watakubali kazi
iliyotokaalisema.
Licha ya bajeti, Dino alidai kuwa wingi wa
kampuni za filamu ni chanzo cha soko kuwa
baya kutokana na kufurika kwa kazi nyingi za
kampuni mbalimbali.
No comments