Mastaa wa tennis duniani nao wanamiliki hii mijengo ya kifahari…Pichaz
Mchezo Tennis ni miongoni mwa michezo inayopendwa sana hasa kwa nchi zilizoendelea ukiachana na mpira wa miguu..
Kuna mastaa wengi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupitia mchezo huo ambapo mbali ya utajiri mkubwa walionao kupitia mishahara na makampuni wanayotangaza, pia wamewekeza zaidi katika majumba ya kifahari kama walivyo wachezaji wa soka na wengine.
Hii ni mijengo ya baadhi ya mastaa wa mchezo wa Tennis

No comments