Leo nimekuletea hii utazame barabara 10 hatari kwenye hii dunia! kosa moja tu la dereva….
Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja
 tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii 
inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali 
duniani.
Kwa
 Tanzania kuna sehemu kama mlima Kitonga na Sekenke hizo ni baadhi tu ya
 sehemu tunazozijua ni hatari, huko kwenye nchi za wenzetu kuna barabara
 China Sichuan-Tibet ambayo
 inaua watu kila wakati mpaka takwimu zinaonyesha kwamba kati ya watu 
laki moja, watu elfu saba mia tano hupoteza maisha kwenye barabara hiyo.


No comments