HIZI NI PICHA ZA JURGEN KLOPP AKITUA AIRPORT NDANI YA LIVERPOOL
Hatimaye mambo yameshakuwa mazuri kwa Jurgen Klopp na hivi sasa
ameshatua Liverpool tayari kwa ajili ya kukamilisha mambo ya awali na
kutangazwa kesho kama kocha mpya.
Klopp amepigwa picha akiwa kwenye uwanja wa ndege Merseyside
akiwasili kwenye ndege binafsi. Kocha huyo raia wa Ujerumani inasemekana
atalipwa mshahara wa kiasi cha £4million kwa msimu.
Inategemewa kesho asubui saa 4, Liverpool itamtangaza kocha huyo kama kocha mkuu kwa kuanzia kesho.
Inategemewa kesho asubui saa 4, Liverpool itamtangaza kocha huyo kama kocha mkuu kwa kuanzia kesho.
No comments