COMPUTER SPECIAL IMETABIRI JINSI MSIMAMO WA EPL UTAKAVYOISHA…ANGALIA TIMU ITAISHIA WAPI

omputer moja kwa kutumia program maalum ambayo imetengenzwa na wataalamu wa software za computer imefanya utabiri baada ya mechi zote za ligi kuchezwa mambo yatakavyokua.

Utabiri huo kwa kutumia hiyo program umetegemea performance ya club husika kwenye mechi za mwanzo wa msimu na uwezo wa timu pia kwa ujumla. Hii hapa ndio table kamili baada ya mechi zote kumalizika kwa msimu huu wa 2015/16 kutokana na hiyo program.

Lakini kama kawaida sisi watu wa mpira tunajua matokeo ni dakika 90 na sio code za software developers.

No comments

Powered by Blogger.