Amber Rose atoa msamaha kwa Kanye West na Wiz Khalifa,kilichofata ndio hichi.Na Wiz Khalifa wamepost picha kwenye kurasa za instagram wakiwa pamoja.

Kwenye matembezi ya ‘SlutWalk’ ya mwanamitindo Amber Rose, yamewekwa wazi mambo tofauti kuhusu mume wake Wiz Khalifa na mpenzi wake wa zamani Kanye West.
Amber Rose ameongelea kutukanwa na Wiz Khalifa kwenye wimbo wa Juicy J “For Everybody” nakusema Mume wangu ameandika wimbo ili kuniumiza, nimempa kila kitu na kumzalia mtoto mzuri wa kiume ila kumbe alikuwa ananiona kama Striper tu “. Ila nimemsamehe.
Wiz alisema kwenye wimbo huo “I fell in love with a stripper.”
Amber Rose pia amesema amemsamehe Kanye West kwa maneno yake aliyosema kwenye interview ya The Breakfast Club kuwa ” nilibidi nioge mara 30 baada ya kuwa na Amber”
Baada ya matembezi hayo, Amber Na Wiz Khalifa wamepost picha kwenye kurasa zao wakiwa pamoja.
wiz-na-amber
Amber-na-Wiz

No comments

Powered by Blogger.