Album ya Adele ’25’ yauza nakala milioni 10 Marekani
Album ya Adele, 25 imeuza nakala milioni 10 nchini Marekani na kumfanya
kuwa mwanamuziki wa Uingereza aliyeuza zaidi katika karne hii.
Kufuatia album hiyo iliyotoka November mwaka jana kupata hadhi ya ‘diamond platinum’ yaani kuuza nakala milioni 10, msanii huyo alipewa ngao katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, ambako ametumbuiza show sita zilizojaa.
Pia album yake ya mwaka 2011, hadi sasa imeuza nakala milioni 14 Marekani pekee.

No comments