Mashabiki Wamchana Raymond

http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/08/
Msanii Raymond ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Natafuta kiki’ amewachefua baadhi ya mashabiki zake kwa kubadili muonekano wake baada ya kusuka rasta katika kichwa chake kitu ambacho kinaonesha kuwakera baadhi ya mashabiki wake.
Raymond alipotupia picha ya muonekano wake mpya kwenye kurasa zake za mitandao ya jamii, mashabiki zake wakaanza kumshauri kuwa ni bora arudi kwenye muonekano wake wa awali na kusema kuwa huu muonekano mpya haujampendezana kusema hauendani kabisa na muonekano wake.

Tazama baadhi ya maoni ya mashabiki wa Raymond katika baadhi ya post zake mbalimbali ambazo zilihusisha huo muonekano wake mpya.
http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/08/

No comments

Powered by Blogger.