Nicki Minaj Kafanya Maamuzi Magumu Yakumchagua Anayemtaka Kati Ya Meek Mill Na Drake? Majibu Yako Hapa!!
Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu
kwenye maisha yake kwenye kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake
ambaye ni Drake au kukata mawasiliano naye kabisa ili kumfurahisha Meek
Mill ambaye ni boy friend wake.
Kwa mujibu wa Hollywood Life Nicki Minaj
amemchagua Meek Mill na amekata mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye
wapo pamoja kwenye lebel moja ya Young Money.
Wawili hawana mawasiliano toka June 2015
beef kati ya Meek na Drake lilipoanza. Pia mpaka sasa Minaj hajaonyesha
kuwa anaikubali album ya Drake ya “Views From the 6.” hata kama
kaisikiliza.
No comments