Forbes Yatangaza Hii Orodha Ya Ma Star Wa Hip Hop Marekani Wenye Mkwanja Mrefu, Hip Hop Cash Kings!
Utajiri wa mastaa wote hawo kwa pamoja
ni sawa dollar billion 2.2 Upande wa 50 Cent hali mbaya hayupo tena
Top 5 ya wasanii wa Hip Hop wenye mtonyo wa maana, Drake amemtoa kwenye
nafasi hiyo.
1. Diddy $750 million
2. Dr Dre $710 million
3. Jay Z $610 million
4. Birdman $110 million
5. Drake $150 milli9n
1.Sean “Diddy” Combs bado anashikilia namba moja akiwa na utajiri wa dola milioni $750.
Puff Daddy
2.Andre “Dr. Dre” Young anashikilia
namba mbili kama mwaka jana akimiliki dola milioni $710 kutoka kwenye
faida za biashara zake kama Beats By Dr. Dre.
3. Shawn “Jay Z” Carter anamiliki dola
milioni $610 kutokana na faida ya kampuni yake ya kusikiliza muziki na
kutazama kazi za wasanii ka kulipia ya TIDAL Na mikataba na wasanii
wengine kupitia Roc Nation.
Jay Z
4. Bryan “Birdman” Williams anashika
namba yake ile ya nne akiwa na mkwanja dola milioni $110 million
kutokana na lebel yake ya Cash Money.
Birdman
5. Aubrey Drake Graham, Drake ameingia kwenye orodha hii akiwa namba 5 akimiliki dola milioni $60
No comments