VideoMPYA (angalia hapa): Vanessa Mdee katuletea hii mpya inaitwa ‘niroge’...

Single yake iliyopita ilikua ‘Never Ever‘ na aliitoa October 2015 na sasa ni March 24 2016 katuletea hii mpya inaitwa ‘Niroge’ naomba ukishaitazama niachie comment hapa chini na Vanessa atapita hapa badae kujua mashabiki wake wamesemaje kuhusu huu mdundo wake mpya…


No comments

Powered by Blogger.