RAFAEL BENITEZ KUIFUNZA NEWCASTLE UNITED....

Rafael Benitez ndio kocha mpya wa kilabu ya Newcastle kufuatia kufutwa kwa aliyekuwa kocha wa kilabu hyo Steve McClaren.
Benitez ambaye amewahi kuifunza Liverpool,Chelsea,Real Madrid,Intermilan na Valencia anaichukua timu hiyo ikiwa imesalia pointi moja kushushwa katika jedwali la ligi ya Uingereza huku kukiwa kumebakia mechi kumi pekee.
Benitez ambaye ni rais wa Uhispania ametia saini kandarasi ya miaka mitatu na kuwaleta makocha Fabio Pecchia,Francisco de Miguel Moreno na Antonio Gomez Perez.


No comments

Powered by Blogger.