Nahreel kasema ‘nisieleweke vibaya kuhusu haya niliyosema kuhusu Diamond’
Nahreel ni msanii wa kundi la Navy Kenzo lakini pia ni Producer ambaye mikono yake imehusika kuzisuka hits nyingi tu ikiwemo za WEUSI, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Shilole na hivi karibuni Nahreel
ameingia kwenye headlines za Tanzania baada ya kusema hakupendezwa na
maneno ya utambulisho wake kufutwa kwenye beat aliyoitengeneza ya wimbo
wa ‘Nana‘ wa Diamond Platnumz ft. Mr Flavour
Nahreel anasema alikiweka hicho kibwagizo kikimtaja kwamba yeye ndio producer wa hiyo beat lakini wimbo ulipotoka hakukisikia sababu kiliondolewa, ikabidi aulize upande wa Diamond imekuaje…. kumsikia mwenyewe na alichoambiwa unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini.

No comments