Maua Sama asema yuko single na hafikirii mahusiano kwa sasa,Kwanini?sababu hizi hapa.

Msanii wa bongo Fleva Maua Sama ameweka wazi kuwa kwa sasa yuko single na hafikirii kuwa kwenye mahusiano.
Maua amesema kuwa kuna vitu vinaendelea kwenye maisha yake na ana focus kwenye kazi yake zaidi mpaka pale atapokuwa stable ndio anaweza kufikiria upande mwingine wa maisha.
“I don’t have a boyfriend and I’m not ready for i
t,right now i have so many thing going on,i don’t think naweza kuwa na room for a love life right now” alifunguka Maua na kusema kama itatokea kuwa kwenye mahusiano anapenda awe na mwanaume ambaye mwenye roho nzuri na mpenda Mungu.

Source:Clouds

No comments

Powered by Blogger.