JE WAJUAA""??...Nisha asema hajawahi kuwa mpenzi wa Baraka da Prince wala rafiki.
Msanii wa bongo movie,Nisha amefunguka na kusema kuwa hajawahi kuwa kwenye mahusiano yoyote na msanii wa bongo fleva Baraka da Prince kama ambavyo imewahi kuvumishwa.
Nisha amesema hajawahi kuwa hata na urafiki na msanii huyo,huwa anamfahamu kama msanii tu.“kwanza hatuna mahusiano yoyote yawe ya kimapenzi au kirafiki,namfahamu kama msanii tu ambaye namfahamu tu” alifunguka mwigizaji huyo.
No comments