Lulu azungumza maneno yaliyowagusa wengi............... soma zaidi hapa
Siku utakayojua kusudi La wewe kuwepo duniani pengine ndo siku utakayojua umepoteza muda kiasi gani kufatilia mambo ya wengine,kujilinganisha na wengine,au kufanya mambo yasiyo na faida ktk maisha yako,Hakuna aliyekuja duniani kwa bahati mbaya ipo sababu ya uwepo wako…fanya jitihada za kujua hyo sababu…ukishajua Tu utakuwa busy sana kuhakikisha unafikia malengo uliyokusudiwa automatically utajikuta unakuwa busy na mambo yako wala Huna muda na watu,utajikuta huyumbishwi na maneno wala mazingira magumu Yoyote….usipojua kusudi la wewe kuishi utajikuta una spend asilimia kubwa ya maisha yako katika maisha ya wenginewakati unaowafatilia wanafika kwenye malengo Yao ww Bdo umekwama tu..!
Mabadiliko hayana Muda maalum…Mabadiliko yanahitaji Utayari wako Tu..!
Tulale Salama…!
#RuleNumber1(YOU VS YOU)usishindane na mtu shindana na wewe uliyekuwa jana usiwe leo
Elizabeth Michael ‘Lulu’ @ elizabethmichaelofficial on instagram

No comments