Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga Wakitisa Ndani ya ‘Pauka na Pakawa’ (Video)



Wakali wa ‘comedy’ kwenye tasnia ya Bongo Movies, Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga wamefanya kweli kwenye filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Pauka na Pakawa inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ambapo unaambiwa “Zama za kale  paka na mbwa walipendana sana, hawakuona tofauti iliyopo kati yao. Nasiku walijuzwa tofauti zao, ndipo vita ikaibuka…”

Jionee ‘Trailer’ ya Filamu hiyo hapa:



No comments

Powered by Blogger.