Samata kweli anastahili kwenda ulaya kwani vijana wanaukubali ubora wake. Na sio kwa wabongo tu bali hata nje ya nchi especially DR CONGO.. Na ulimwengu pia kaonesha kuwa bado mzma kwa kutandika bao kali sana
No comments