LUKE SHAW AMERUDI KWENYE UWANJA WA MAZOEZI WA MAN UNITED KWA MARA KWANZA TANGU AUMIE
Mchezaji Luke Shaw tangu apate jeraha kwenye
mguu wake kwenye mechi ya UEFA dhidi ya
PSV amerudi kwenye uwanja wa mazoezi wa
Manchester united kwa mara ya kwanza.
Luke Shaw mwenyewe kwenye ukurasa wake
wa twitter ali-tweet hivi, “First day back at the
training ground today, nice to be back” .
Mchezaji huyu mwenye miaka 20 alikua hospitali
huko Holland na baadae kurudishwa England
kwa ajili ya matibabu.
Tweet hii imefuatia baada ya post ya Instagram
kwamba Luke Shaw amefuria kutumia mguu
wake tena alivyosimama. Lakini Luke Shaw
kurudi kwenye kiwanja cha mazoezi
haikumaanisha kwamba ameenda kushiriki
mazoezi magumu kama kawaida na wachezaji
wenzake.
Created by burudani kamili
No comments