LICHA YA KUPIGWA NA MALAWI, TAIFA STARS BADO WANA NAFASI

Timu ya Taifa ya Tanzania al maarufu Taifa stars imefanikiwa kuitoa timu ya Taifa ya malawi kwenye mchezo wa awali wa kufuzu kombe la Dunia licha ya Kufungwa bao 1-0 na malawi kwenye mchezo uliopigwa leo jioni.

Malawi walifunga goli hilo dakika ya 42 ya mchezo lakini halikuwasaidia kitu na baadala yake wameaga mashindano hayo kwa jumla ya goli 2-1.
Taifa Stars sasa itakutana na Algeria katika mchezo wa mtoano.

No comments

Powered by Blogger.