Ikitokea Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea, hiki ndio kiwango cha pesa atakacholipwa…
Mabingwa wa ligi kuu England Chelsea 
imepata matokeo mabaya mfululizo na kusababisha kuwa na sintofahamu juu 
ya kibarua cha kocha wao Jose Mourinho.
Pamoja na mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich kukanusha
 kumtimua kocha huyo lakini ukweli ni kwamba endapo watadhubutu kufanya 
hivyo itawalazimu kumlipa Kocha huyo kwa kumlipa kiasi cha Euro milioni 
30.
Mourinho
 aliongezewa mkataba mwingine wa mwaka mmoja usiopungua Euro milioni 8.5
 na kumfanya kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo hadi mwaka 2019.
Kutokana na matokeo mabaya wanayoyapata 
kwa sasa mabingwa hao watetezi wapo katika hatari ya kuukosa uchampion 
wa ligi hiyo msimu ujao.


No comments