Hizi ni sentensi 5 za Diamond Platnumz baada ya ushindi wa tuzo ya MTV EMA 2015.

Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania,Diamond Platnumz bado anaendelea kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani nchini na Africa kwa ujumla.

Baada ya kuipeperusha bendera yaTanzania kwenye usiku wa tuzo za MTV EMA 2015 msanii huyo wa muziki waBongo Fleva amekuwa akipokea pongezi mbalimbali kutoka kwa mashabiki wake kwenye Instagram na pia kituo kikubwa cha burudani AfricaMTVBase Africakilichukuwa time na kumpongeza msanii huyo kutoka Tanzania

Kuonyesha furaha yake kwa Watanzaniana kwa mashabiki wake wengi, Diamond Platnumz kapost ujumbe wa shukrani kwenye page yake ya Instagram na pia kuwapa mashabiki wake taarifa kuwa baada ya pirikapirika za Uchaguzi Mkuu ataanda siku maalum kwa ajili ya mashabiki wake kuweza kupiga picha na tuzo hiyo…

>>> “Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushindanaomba niwashkuru sana sana kwa kura zenu Mashabiki zangu pendwawasanii wenzangu, Media, Uongozi pamoja na familia… bahati mbaya Kutokana na harakati za uchaguzi hatuta weza kuwa na mapokezi ila ukipita tutaandaa siku maalum kwa wote tuweze piga picha nayo… #BestAfricanAct#BestWorldwideAct #Mtvema<<<@diamondplatnumz.

No comments

Powered by Blogger.