Demu wa Chris Brown Aonekana tena na Depay Jijini Manchester (Picha)

Siku mbili baada ya kufunga goli lake la kwanza katika Barclays Premier League, winga wa Manchester United Memphis Depay aliamua kujipongeza kwa kwenda kufanya shopping huko Selfridges jijini Manchester huku pembeni akiwa na kampani ya demu wa zamani wa mwanamuziki Chris Brown – Kerrueche Tran.http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/IMG_8968.jpg
Wawili hao Depay, 21, na Kerrueche walionekana pamoja tena jumamosi iliyopita usiku wakiwa katika klabu ya Club LIV.http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/IMG_8970.jpgWawili hao walianza kuwa na ukaribu na kuonekana pamoja wakati Depay alipoenda nchini Marekani kwa mapumziko siku chache baada ya kujiunga na Manchester United akitokea PSV Eindhoven. http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/IMG_8971.jpg Mpaka sasa haijathibitishwa aina ya urafiki walionao wawili hao japo tetesi zinasema wanashea kitanda.http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/IMG_8969.jpg
Depay mpaka sasa ameshaichezea United mechi 11 na kufunga magoli 4, goli lake la kwanza kwenye EPL limeisadia United kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi kwa mara ya kwanza tangu utawala wa Sir Alex Ferguson.

No comments

Powered by Blogger.