BAYERN Vs ARSENAL : HABARI MBAYA LAKINI FAIDA KWA ARSENAL

Siku chache zilizopita Arsenal Wenger alisema
kwamba kama wanataka kuifunga Bayern
Munich basi lazima wacheze mpira wa kasi
kama walivyofanya dhidi ya Manchester united.
Sasa kila timu inahitajika kuwa fit kwa ajili ya
mchezo huo. Sasa kwa upande wa Bayern wana
habari mbaya kuhusu mchezaji wao tegemezi
Mario Gotze. Mchezaji huyu mwenye miaka 23
amepata jeraha akiwa kwenye mechi ya timu ya
taifa imaeripotiwa kwamba atakaa nje kwa wiki
10 hadi 12.
Hii maana yake ni kwamba Gotze atakosa mechi
dhidi ya Arsenal kwenye uwanja wa wao na
ndani ya Emirates. One man down lakini pia
another danger man Robben anafanya mazoezi
kwa bidii ili arudi kwenye form ya mchezo tena.

No comments

Powered by Blogger.