BAADA YA KIKAO CHA BOARD MOURINHO AME-SURVIVE

Baada ya mechi ya jana dhidi ya Southampton, board ya Chelsea ilikaa kikao kujadili kuhusu mwenendo wa club yao ambayo inatetea ubingwa. Baada ya mechi Jose Mourihno alisema, "Mimi sikimbikii majukumu yangu, kama club itanifukuza kazi itanifukuza kazi. Lakini mimi nakubali haya ni majukumu yangu na hii ni timu yangu". Kikao hicho kimempa support Mourinho licha kuanza vibaya msimu huu na hatafukuzwa kazi kama hofu ilivyokua kubwa baada ya mechi ya jana


No comments

Powered by Blogger.