Nisher: Nipo kimya makusudi, nitarudi kwa kishindo
Muongozaji wa video nchini, Nisher amedai kuwa amelazimika kuwa kimya makusudi ili kujiandaa kuja na ujio wa awamu nyingine akiwa na nguvu zaidi.
NISHA kasema kuwa hapendi tena kufanya mambo kawaida, bali kuja na kitu chenye kishindo cha kutisha.
“Right now I’m taking my time kidogo,” amesema Nisher kueleza kwanini ghafla amekuwa kimya tena. “I’m coming out with something big, ila nipo kwenye, so sio kitu cha haraka. Kwa upande wangu right now, I’m not about releasing kazi kila siku,” amesisitiza.
“I’m all about big moves basi. I do something big na chill nafanya mambo mengine na return na hit zingine na chill sababu kwa sasa nina mambo mengi sana kwenye sahani yangu, na kujigawa sana inakuwa kazi so na balance,” ameongeza.
Hivi karibuni pia Nisher alifuta picha zote kwenye akaunti yake ya Instagram.

No comments