Video: 42 wajeruhiwa kwenye show ya Snoop Dogg na Wiz Khalifa
Mashabiki 42 wamejeruhiwa kwenye show ya Snoop Dogg na Wiz Khalifa huko Camden, New Jersey.
Ajali hiyo ilitokea baada ya uzio unaotengenisha stage na mashabiki kuanguka na kuwafanya watu
wa mbele waangukiane.
Ajali hiyo ilitokea baada ya uzio unaotengenisha stage na mashabiki kuanguka na kuwafanya watu
wa mbele waangukiane.
No comments