Diamond ashirikishwa na staa wa Ivory Coast, Serge Beynaud

Diamond Platnumz amegeuka kuwa msanii anayetafutwa zaidi na wasanii wa nchi mbalimbali Afrika kwaajili ya collabo.13712618_894907837285690_1435021484_n

Baada ya kushirikishwa na msanii wa Zimbabwe Jah Prayzah kwenye wimbo Watora Mari, mkali huyo ameshirikishwa kwenye wimbo mwingine na msanii wa Ivory Coast, Serge Beynaud.
13745207_1747968572141820_873205228_n

Kupitia Instagram, Serge ambaye pia ni producer mkubwa ameweka kipande kifupi cha wimbo hu


No comments

Powered by Blogger.