RECHO AKANUSHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Flava, Recho ‘Kizunguzungu’, amekanusha vikali tuhuma za kwamba yeye anatumia Madawa ya Kulevya ikiwemo Bangi.
Akizungumza kupitia Times Fm, Recho amedai watu huwa wanahusisha tabia za Ray C na zake ndio maana huwa anahusishwa katika tuhuma hizo.
“Watu wanafananisha mziki wangu na wa Ray C which is ni kitu kizuri, lakini sasa wanabeba yani kila kitu anachofanya Ray C na mimi na husika nacho, sijui yametoka wapi haya naomba niseme tena mimi situmii madawa ya kulevya wala sijawahi kutumia Bangi” Alisema

No comments

Powered by Blogger.