Kanye West Azuia Mauzo Ya Albamu Yake "The Life Of Pablo" Kutangazwa Hataki aibu
Kanye West ametumia nguvu zake kama mtu maarufu mwenye pesa nyingi kuzuia taarifa za mauzo ya album yake ya The Life Of Pablo.
Ripoti ya TIDAL inasema Kanye West ndiye mwenye mamalaka ya kuruhusu mauzo ya The Life Of Pablo kutangazwa na hii imechangiwa na ushkaji wake na rapa JayZ.
Mpaka sasa album ya The Life Of Pablo haijaonekana kwenye chati za Billboard sababu hawajui mauzo yake.
Kwa Taarifa tuliyonayo kwa sasa ni kuwa album ya The Life Of Pablo imevunja rekodi ya mauzo ya TIDAL.

No comments