Jibu la Lulu kuhusu mambo ya kishirikina na kushinda tuzo nje ya nchi

Msanii wa filamu Tanzania Diana Elizabeth Michael Aka Lulu ameweka wazi hisia zake juu ya wanaosema ameshinda tuzo ya filamu bora ya Afrika Mashariki kwa nguvu za kishirikina.
Lulu alisema haya kupitia Friday Nite Live kuwa “Wanasema mambo kama hayo wanasema ili wapunguze maumivu ya kutokuwa na mafanikio kama yangu, wanasema ili wao wajiskie powa tu ila sio kweli“.
Lulu pia anasema kushinda tuzo hii inaamaana chochote tunaweza kufanya.

chanzo sam misago

No comments

Powered by Blogger.