Good news: List ya Nyimbo zinazokwenda international inazidi kuongezeka Tanzania….

Wimbo kuchezwa kwenye kituo cha Kimataifa ni good news kwa wasanii, muziki wa Bongofleva unazidi kupata rotation kubwa Barani Afrika, March 8 2016 Trace TV imeanza kucheza wimbo wa Darassa ft Rich Mavoko   ‘Kama Utanipenda
Kama Utanipenda‘ imezichukua headlines tena baada ya video hiyo kuchezwa kwenye moja kati ya kituo kikubwa cha TV Africa  ‘Trace TV‘,  Video ya wimbo huu umefanyika nchini Tanzania chini ya Director Hanscana
huu ni ujumbe aliopost Director Hanscana baada ya Video ya ‘Kama Utanipenda’ kuchezwa kwenye Trace TV
neww
hanscana_’s/o to @tracenigeria to premiere #kamautanipenda kwa upande wa tv za kimataifathank you so much @tracenigeria .Na ntazidi kukaza mpaka mwisho tutakutana tu huko huko .@darassacmg ft @richmavoko #kama_utanipenda #kamautanipendaGUSA LINK KWENYE BIO YANGU KUITAZAMA

No comments

Powered by Blogger.