Azealia Banks Amediss Vikali Video Mpya Ya Rihanna ‘Work’,Adai Imefanana Na Hii Video Hapa!! Amwita Mnywa Vidonge.

Star wa R&N Azealia Banks Mwemanye umaarufu kwa kutafuta beef mitandaoni amediss video mpya ya Rihanna Ft Drake ‘Work’ iliyotoka jana.
Mwana Dada Azealia anasema video ya Rihanna inafanana sana na video ya Beyonce Ft Sean Paul ‘Baby Boy’ iliyotoka 2002, kama alivyoandika kwenye twitter yake hapa “Work reminds of baby boy video with Sean Paul except not as fly“.
Banks aliendelea  “Music is honestly so f–king trash and boring. Let’s start a f–king beef and make s— interesting. All these f–king pill-popping divas doing the LEAST and the s— is boring. Get these h— a coffee and a pair of boxing gloves. Bring out the real artists !!!!”



Kauli hii ya Azealia Bank ya kumuita Rihanna ‘Mnywa vidonge’ imeboa sana mashabiki wa Rihanna ambao wanaimani Rihanna sio mtumiaji wa dawa zozote za kulevya.
Video mbili ndio hizi
TUPIA JICHO VIDEO HIZI JE? ZINAFANANA KWELI

No comments

Powered by Blogger.