Habari Njema Kutoka kwa Shamsa na JB

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amewadokeza mashabiki wake kuwa wakae mkao kula kwani hivi sasa wapo chimbo NA jb wakiandaa kazi mpya itakayo kwenda kwa jina la BI MAPOZI.
“Movie inayokuja nitakuwa na big boss, si unajua vicwa hivi viwili vikikutana. Itakuwa ni balaaa. Bonge la Movie inaitwa ( BI MAPOZI.)”
Shamsa aliandika kwenye ukurasa wake instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na JB

No comments

Powered by Blogger.