Tyga Amtumia Tena Girlfriend Wake Kylie Jenner Kwenye Hii Video Mpya Ya ‘Dope’d Up’ Itazame Hapa.

Kwa mara nyingine Rapper Tyga amemtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video yake mpya ‘Dope’d Up.

Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Kylie kuonekana kwenye video ya Tyga baada ya kucheza kama mpenzi wake kwenye video iliyopita ‘Stimulated’.
Dope’d Up’ ni wimbo ambao utapatikana kwenye mixtape ya Tyga ‘Rawwest Nigga Alive’ iliyopangwa kutoka mwezi ujao

https://youtu.be/pfP8GIGr_20

No comments

Powered by Blogger.