Majibu ya kwanini Ali Kiba huwa haendi kwenye tuzo? safari ya Marekani na

Ali Kiba ambaye ni staa wa bongofleva alipita
kwenye studio za Mtangazaji Millard Ayo na
kuelezea mipango yake anapokwenda Marekani
November 4 2015, kwanini huwa haudhurii
matukio ya utolewaji wa tuzo mbalimbali
anazowania, single mpya na Christian Bella na
mengine.
Kwenye hii video hapa chini Ali Kiba
amezungumzia pia single yao mpya na Christian
Bella ‘ nagharamia‘ ambayo wanaidrop Ijumaa hii

No comments

Powered by Blogger.