Entertainment Wajue warembo 15 waliowahi kuwa kwenye uhusiano na staa wa movie ya Titanic DiCaprio…Pichaz

Jina la Leonardo DiCaprio si geni kwa mashabiki wanaopenda kuangalia movie, ni kati ya waigizaji wakubwa kwenye industry hiyo.
Mbali ya kipaji chake cha kuigiza pia mashabiki wake wanamfahamu kama mmoja wa mastaa ambaye mpaka sasa hajaoa licha ya umri wake kumruhusu.
Kwa miaka mingi DiCaprio amekuwa na uhusiano na wasichana mbalimbali maarufu wakiwemo wanamitindo kutoka sehemu mbalimbali.
Hawa ni warembo 15 ambao walikuwahi kuwa na uhusiano na staa huyo wa Hollywood.


15
1. Mwanamitindo Kristen Zang, alianza uhusiano na DiCaprio mwaka 1995-1999

14
2.Staa wa reality show Trishelle Cannatella

12
3. Mwanamitindo Erin Heatherton

ser
4. Mwanamitindo Claire Danes

km
5. Mwanamitindo Toni Garrn

ts
7. Mwanamuziki Rihanna

nane
8. Mwanamitindo Bijou Phillips

eva
9.Mwanamitindo  Eva Herzigova

sita
10. Mwanamitindo Helena Christensen

tan
11.Mwanamitindo  Naomi Campbell

nne
12. Mwanamitindo  Bar Rafaeli

mira
13. Mwanamitindo Miranda Kerr

blaa
14. Mwanamitindo Blake Lively

gise

No comments

Powered by Blogger.